Watano wafariki, mmoja akijeruhiwa ajalini Arusha
Arusha. Watu watano wamefariki dunia na mmoja akijeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika maeneo ya Mbuyuni, Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo leo Jumapili Novemba 23, 2025 imeeleza ajali hiyo imetokea leo saa saba mchana katika eneo…