Ubunge wa Baba Levo wapingwa kortini
Kigoma. Haijaisha mpaka imalizike. Ni usemi unaoweza kuelezea hatua ya wapigakura wanne wa Jimbo la Kigoma Mjini kufungua shauri la uchaguzi wakipinga ushindi wa mbunge wa jimbo hilo (CCM), Clayton Chipando maarufu Baba Levo. Wapigakura hao wamewasilisha sababu 35 kuthibitisha kile wanachodai kuwa ubunge wa Baba Levo ni batili, hivyo ufanyike uchaguzi mdogo huku wakiwataja…