Bodaboda Njombe waonywa uchochezi | Mwananchi

Njombe. Jeshi la Polisi mkoani Njombe limewataka madereva wa bodaboda wilaya ya Njombe kutumia vizuri mitandao ya mawasiliano ya simu na mingineyo katika kujipatia kipato na kuacha kusambaza taarifa za uchochezi zinazoweza kuchochea vurugu na uvunjifu wa amani nchini. Hayo yamesemwa leo Novemba 23, 2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga wakati…

Read More

DTB kupanda miti milioni moja, ikilenga kuhifadhi mazingira

Dar es Salaam. Benki ya Diamond Trust (DTB) imeweka mikakati ya kupanda miti milioni moja hadi ifikapo mwaka 2030. Tayari benki hiyo imeshapanda miti 150,000 kupitia ushirikiano na wadau mbalimbali, ikiwemo shule na jamii. Ofisa Masoko wa DTB, Irene Daniel, akizungumza na Mwananchi leo Jumapili, Novemba 23, 2025, kuhusu mkakati huo, amesema unalenga kurejesha mifumo…

Read More

Wakulima walia na minada ya korosho Lindi

Lindi/Dar. Baadhi ya wakulima wa korosho wa mikoa ya Lindi na Mtwara wamelalamikia namna minada ya zao hilo inavyoendeshwa katika msimu wa mwaka 2025/26, wakidai kukosekana uwazi na ushirikishwaji. Hata hivyo, Meneja wa Chama Kikuu cha Ushirika Lindi Mwambao, Nurudin Said amekana madai ya wakulima kutoshirikishwa, akisema mfumo wa minada unahitaji wawakilishi kutokana na ugumu…

Read More

Wanane wakiwemo wa familia moja watupwa jela kwa mauaji

Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Dodoma, imewahukumu watu wanane, wakiwamo ndugu wa familia moja kifungo cha miaka minne na wengine miaka miwili baada ya kupatikana na hatia ya kusababisha kifo cha Daud Kitonka. Mahakama ilibaini kuwa marehemu aliuawa wakati washtakiwa wakijaribu kumpa somo kwa madai ya kumfanyia ukatili mkewe, ambaye pia ni miongoni mwa…

Read More

Tanesco yazidi kufanya mageuzi maboresho ya umeme

Dodoma. Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeendelea kufanya mageuzi katika kuboresha upatikanaji wa  huduma ya umeme nchini, hatua ambayo imeongeza imani na fursa mbalimbali za kiuchumi kwa wananchi. Waziri Ndejembi amesema hayo jana Novemba 22, 2025, mkoani Dodoma katika kikao chake na viongozi wa Tanesco kilichokuwa na lengo la…

Read More