AFRIKA YASISITIZA UFADHILI WA UHAKIKA KWA UTEKELEZAJI WA MAPAMBANO DHIDI YA MABADILIKO YA TABIA NCHI

::::::::: Na Mwandishi wetu, Belem, Brazil Afrika imeendelea kusisitiza hitaji la kuwepo kwa ufadhili wa uhakika, endelevu na wa kutosha kwa ajili ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, ikionya kuwa bila rasilimali za kutosha na msaada wa kweli katika utekelezaji, maamuzi yanayofikiwa katika majukwaa ya kimataifa yataendelea kubaki kuwa ahadi na maneno mazuri…

Read More

Alliance Girls yapata jeuri | Mwanaspoti

USHINDI wa bao 1-0 dhidi ya Ceassia Queens umeipa jeuri Alliance Girls ambayo inaamini ni ishara njema kwa msimu huu, huku kocha msaidizi wa timu hiyo, Amani Lwambano akitaja kinachowapa ujasiri huo. Alliance iliichapa Ceassia Queens ya Iringa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara kwenye Uwanja wa Nyama-gana mjini Mwanza na bao pekee…

Read More

Mgunda atoa neno Namungo | Mwanaspoti

BAADA ya ushindi wa mabao 2-0, Kocha mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema kikosi hicho kimerudi kwenye ushindani katika Ligi Kuu Bara, huku akiwapongeza wachezaji kwa kuamua kutimiza vyema wajibu. Ushindi ilioupata Namungo umeifanya kufikisha pointi tisa kwenye mechi saba ilizocheza ikishinda mbili, sare tatu na kupoteza michezo miwili. Akizungumza na Mwanaspoti, Mgunda alisema mchezo…

Read More

Maximo: KMC lazima isajili | Mwanaspoti

BAADA ya kupoteza mechi sita za Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Marcio Maximo amesema timu hiyo inapaswa kuanza kulikodolea macho dirisha dogo la usajili la Januari, 2026 ili kuboresha kikosi. Ingawa kocha huyo katika mazungumzo yake na Mwanaspoti alidai baada ya kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa JKT Tanzania juzi, anauona mwanga wenye matumaini…

Read More

Hasira na chimbuko lake kwenye ndoa

Dar es Salaam. Hasira ni hisia nzito zinazoambatana na maumivu ya moyo. Ingawa ni mojawapo ya hisia tulizo pewa zawadi na Mwenyezi Mungu, kila mtu anapokuwa na hasira mara nyingi matokeo yake huwa sio mazuri.  Takwimu zinaonyesha kuwa hasira ni sababu ya pili kwa ukubwa inayosababisha ajali nyingi katika nchi zilizoendelea hususani Marekani.  Hasira imewapa…

Read More

Mungu akupe neema ya kuondoa uchungu moyoni mwako

Mtu wa Mungu tumsifu Yesu Kristu, nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliye hai. Ni imani yangu kuwa kwa neema ya Mungu unaendelea vizuri wewe na familia yako. Namtukuza Mungu kwa kukupa kibali tena siku ya leo kutafakari pamoja nami ujumbe wa leo ambao ninajua kwa hakika utakubariki na kugusa maisha yako. Leo…

Read More

Hatari kwa watoto wenza kuishi mbalimbali

Canada. Ni jambo la kawaida kusikia au kushuhudia wanandoa wanaoishi maisha ya utengano usio na ulazima. Mara nyingi hutenganishwa na majukumu ya kazi au shughuli nyingine za kujenga maisha. Wapo pia wanaoishi mbali kwa sababu za mila na tamaduni. Kwa mfano, katika baadhi ya jamii bado kuna imani kwamba familia inapaswa kuwa na mashamba au…

Read More