BONDIA MTANZANIA PIUS MPENDA AMLAZIMIISHA SARE MMEXICO HUKO UARABUNI
::::::: Bondia Mtanzania, Pius Mpenda ameweka historia katika pambano la kimataifa lilifonyika jijini Riyadh katika nchi ya Falme za kiarabu baada ya kumlazimisha sare Mmexico, Julio Ruiz. Mpenda ameweka historia hiyo mbele ya maelfu ya mashabiki wa mchezo wa ngumi waliojitokeza kushuhudia pambano hilo ambalo limefanyika katika ukumbi wa ANB Arena uliopo jijini Riyadh. Katika…