Yanayoendelea kanisani kwa Askofu Gwajima
Dar es Salaam. Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima leo Novemba 30, 2025 wamefanya ibada ya kwanza ya Jumapili, ikiwa imepita zaidi ya miezi sita tangu kufutiwa usajili. Juni 2, 2025, Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa alitangaza kulifuta kanisa hilo kwa kile alichoelea limekiuka Sheria za usajili Sura…