Utoro, mimba vyaongoza mdondoko wa wanafunzi
Dar es Salaam. Mimba na utoro vimeendelea kuwa sababu kuu za wanafunzi kuacha shule katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania kwa mwaka 2024, kama inavyoelezwa katika ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS). Ripoti ya Statistical Abstract ya mwaka 2024 iliyochapishwa Septemba 30, 2025 katika tovuti ya NBS inaonyesha kuwa utoro ulibeba asilimia 99.21 ya…