Mkemia mkuu atoa onyo kuhusu hatari ya kemikali ya Ammonium Nitrate

Dodoma. Mkemia Mkuu wa Serikali, Dk Fidelice Mafumiko, ametoa onyo kwa wadau na taasisi zote zinazohusika na usimamizi wa kemikali hatarishi ya ‘ammonium nitrate’ kuhakikisha umakini unaongezwa katika utunzaji na usafirishaji wake, ili kuepusha madhara kwa jamii. ‘Ammonium nitrate’ ni kemikali inayozalishwa viwandani, na hutumika kama chanzo cha nitrojeni katika mbolea. Hata hivyo, kemikali hiyo…

Read More

Nahodha Mtibwa atuma salamu KMC

NAHODHA wa Mtibwa Sugar, Oscar Masai amezitaja dakika 90 bora dhidi ya KMC katika mchezo utakaopigwa keshokutwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, lakini akielezea hofu yao kwa timu ambayo imejerehiwa. Mtibwa Sugar ambayo itakuwa mwenyeji wa mchezo huo inatarajiwa kutua leo jijini humo kujiwinda dhidi ya KMC ambayo juzi ilipoteza mchezo wa…

Read More

Watoto njiti 315 wapatiwa huduma maalumu Shinyanga

Shinyanga. Wastani wa watoto 30 wanaozaliwa kila mwezi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga ni watoto waliozaliwa kabla ya wiki 37 za ujauzito, jambo linaloonyesha ukubwa wa changamoto hii katika jamii. Hayo yameelezwa na Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dk John Luzila, Novemba 22, 2025, wakati wa kuadhimisha Siku ya Watoto Njiti (Pre-mature…

Read More

Wananchi wapewa mbinu kutambua noti bandia mitaani

Dodoma. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka Watanzania kuongeza umakini wakati ambao inaendelea  kuongeza juhudi za kukabiliana na usambazaji wa fedha bandia. Hilo linasemwa wakati ambao sheria inaweka wazi kuwa mtu atakayekutwa na fedha bandia adhabu yake ni kifungo cha maisha. Ofisa mwandamizi wa Benki Kuu, Atufigwegwe Mwakabalula amesema kuwa watengenezaji wa fedha bandia wanatumia…

Read More

Hofu, matumaini ya Bryson JKT

BEKI wa JKT Tanzania, David Bryson ameutaja msimu wa 2025/26 ni dume kutokana na ushindani uliopo, huku akiwatahadharisha wapinzani wao, wanaitaka tano bora ya Ligi Kuu Bara, hivyo watarajie ushindani. Bryson amesema hayo baada ya kucheza dakika 90 dhidi ya KMC na kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa bao 1-0 na kupata ushindi wa…

Read More