Wateja wa Benki ya CRDB Wafurahia Huduma

 Kampeni ya TUSHAVUKA HUKO ya Benki ya CRDB inaendelea kuvunja rekodi baada ya wateja kutoa ushuhuda kuhusu maboresho makubwa ya mfumo na huduma za benki hiyo, huku wakijipatia zawadi mbalimbali ikiwemo fedha taslimu hadi Shilingi Milioni Moja, Bima ya Afya kwa mwaka mzima, na Bima ya KAVA inayotoa mkono wa pole pale mteja anapopata ulemavu…

Read More

ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MBEYA KWA TUHUMA ZA KIJINAI.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Awali ya “Saint Clemence” ndugu Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni “A” Jijini Mbeya kwa tuhuma za uchochezi. Mtuhumiwa alikamatwa mnamo Novemba 21, 2025 saa 5:20 asubuhi maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya akitoa na kusambaza maneno ya uchochezi na uchonganishi kupitia akaunti zake za…

Read More

JAMII IMETAKIWA KUWATHAMINI NA KUWAJUMUISHA WATU WENYE ULEMAVU KATIKA FURSA ZA MAENDELEO.

Wito huo umetolewa na Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Bw. Albert Machua, wakati wa kikao kazi cha kuwakaribisha Taasisi ya Watu wenye Ulemavu Peace Life for Persons with Disability Foundation (PLPDF).   Bw. Machua amesema mradi huo unalenga kuwawezesha wasichana, wanawake na vijana wenye ulemavu kiuchumi na kimaendeleo, ambapo utekelezaji wake utaanza…

Read More

Aliyekuwa askari JWTZ jela kwa mauaji ya mpenzi wake

Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dodoma, imemhukumu kifungo cha miaka minne jela aliyekuwa askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jonathan Huzi, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa mpenzi wake, Veronica Michael. Huzi alishtakiwa kwa kosa la mauaji ya bila kukusudia kinyume cha kifungu cha 195 na…

Read More

Mke wa dereva bodaboda aliyeuawa arejeshewa nyumba

Simanjiro. Mjane Sion Mathayo amerejeshewa nyumba iliyokuwa dhamana ya deni la Sh11 milioni baada ya Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Fakii Lulandala kufanikisha kupata fedha za kulipa deni hilo. Nyumba hiyo iliyorejeshwa kwa mjane Sion Mathayo, mkazi wa kitongoji cha Mkumbi mji mdogo wa Orkesumet iliwekwa rehani na mume wake dereva bodaboda, Mohamed Ally (Mang’ati)…

Read More

Polisi yamshikilia Clemence Mwandambo kwa tuhuma za uchochezi

Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Awali ya ‘Saint Clemence’, Clemence Mwandambo mkazi wa Uzunguni A jijini humo kwa tuhuma za uchochezi.  Mwandambo ambaye amekuwa maarufu mitandaoni kwa maneno yake ikiwano maarufu la ‘Nachoka baba yenu Clemence Mwandambo’  inaelezwa alikamatwa na Jeshi la Polisi jana Novemba 21. Mwandambo ambaye ni…

Read More