Petro alivyotoka kimaisha kwa manukato ya ‘jero’
Dar es Salaam. Eneo la Tabata Segerea, jijini Dar es Salaam, Samwel Petro (26), anayefahamika kwa jina la biashara Masheyn Perfume, ndiko anakojipatia kipato cha siku cha kuendesha maisha yake. Ni wa kawaida lakini safari yake si ya kuichukulia powa kwa kauli ya watoto wa mjini. Petro ni wa kupigiwa mfano kwa namna ambavyo mitandao…