VIONGOZI ARDHI SACCOS WATAKIWA KUWA WABUNIFU
Na Mwandishi Wetu NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Lucy Kabyemera amewataka viongozi wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi (Ardhi Saccos Ltd) kubuni mbinu za kujitangaza pamoja na kujitanua nje ya wizara ili kuwa na idadi kubwa ya wanachama…