Wanawake waongoza kwa idadi wahitimu Rucu

Iringa. Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) leo kimefanya mahafali yake ya 18 katika viwanja vya chuo hicho jijini Iringa, ambapo jumla ya wahitimu 1,658 wametunukiwa vyeti, stashahada, shahada na shahada za uzamili. Katika mahafali hayo, wanawake wameongoza kwa idadi kubwa, ikiwa ni 920, dhidi ya wanaume 738, hatua inayotafsiriwa kama ishara ya ukuaji wa usawa…

Read More

Wajasiriamali wafichua siri ya tiba kwenye maua

Morogoro. Wajasiriamali wa bidhaa za maua katika Maonesho ya Biashara ya Morogoro wamesema kuwa, licha ya maua kutambulika zaidi kama mapambo ya nyumba, bustani na hoteli, yana pia manufaa makubwa kiafya ambayo sehemu kubwa ya jamii bado haijayafahamu vya kutosha. Akizungumza na Mwananchi leo, Novemba 21, 2025, mjini hapa, mjasiriamali wa maua na mimea tiba,…

Read More

Uvunaji wa maji ya mvua hupunguza ukame katika Mashariki ya Guatemala – Video – Maswala ya Ulimwenguni

Kuteswa na ukame, familia za kilimo zinazoishi ndani ya mipaka ya ukanda kavu mashariki mwa Guatemala wameamua kuvuna maji ya mvua, mbinu bora ambayo imewaruhusu kukabiliana na Edgardo Ayala (San Luis Jilotepeque, Guatemala) Ijumaa, Novemba 21, 2025 Huduma ya waandishi wa habari San Luis Jilotepeque, Guatemala, Novemba 21 (IPS) – iliyokumbwa na ukame, familia za…

Read More

Profesa Kabudi ataka waandishi wa vitabu waongeze ubunifu

Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamangamba Kabudi amewataka waaandishi wa vitabu nchini kuongeza ubunifu katika uandishi na uchapaji wa vitabu ili kuongeza mvuto kwa wasomaji. ‎Amesema licha ya vitabu kuchangia kukuza uchumi, bado vitabu hivyo vimekuwa ni urithi adimu kwa vizazi vya sasa na vijavyo. ‎Profesa Kabudi ametoa wito…

Read More

Balozi Mangu atoa maagizo matano sekta ya bandari

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Bandari Dar es Salaam, Balozi Ernest Mangu ametoa maagizo matano kwa Chuo cha Bandari na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), yakiwemo kukamilisha uwekezaji katika miundombinu ya kisasa ya kujifunzia na kufundishia. Lengo ni kuhakikisha chuo hicho kinakuwa kitovu cha umahiri na ubunifu katika sekta ya…

Read More

MSAMA ATOA KAULI NZITI AKIWASIHI GEN-Z, VIONGOZI WA DINI

 :::::::::: MKURUGENZI wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amesema kilichotokea Oktoba 29, kisijirudie na watanzania wote tuseme inatosha kwani sio utamaduni wetu Msama amesema hayo leo wakati akitoa maoni yake kuhusu tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matukio ya vurugu za Oktoba 29, siku ya uchaguzi mkuu mwaka huu. Tume hiyo inayoogozwa…

Read More