Rais Mwinyi ateua ma-RC, wakuu wa taasisi kuwa makatibu wakuu
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi na kubadilisha makatibu wakuu wa wizara nane, pamoja na naibu makatibu wakuu wa wizara tano. Miongoni mwa walioteuliwa wamo waliokuwa wakuu wa mikoa na watendaji wakuu wa taasisi za Serikali. Katika uteuzi huo, makatibu wakuu wa wizara tisa wameendelea kusalia walipokuwa. Wateule hao wataapishwa Jumamosi, Novemba…