Lishe bora shuleni yapewa kipaumbele Sumbawanga
Rukwa. Katika mwendelezo wa utekelezaji wa afua za lishe katika Wiki ya Lishe Kitaifa, Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuimarisha huduma za lishe shuleni kwa kugawa unga wenye virutubisho kwa shule za sekondari. Jumla ya kilo 2,850 za unga zimetolewa kwa shule zote za sekondari za Manispaa, ambapo kila shule imepokea mifuko sita yenye…