WAZIRI KAIRUKI: HUDUMA ZA MTANDAO NA MAWASILIANO KATIKA MWENDOKASI ZINAREJESHWA

  Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Kairuki amesema Serikali itahakikisha huduma za mitandao na mawasiliano katika miundombinu ya usafiri wa mwendokasi zinarejea kikamilifu kama ilivyokuwa awali. Akizungumza wakati wa ukaguzi wa utekelezaji wa maagizo ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kuhusu kurejeshwa kwa huduma za usafiri katika njia ya Kimara, Waziri…

Read More

MRADI WA TRILIONI 1.57 KUCHOCHEA MAGEUZI YA KILIMO KILWA

 ::::::::::: Serikali imekabidhi ardhi kwa kampuni ya Pan Tanzania Agriculture Developments Ltd kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa kilimo na viwanda wenye thamani ya Sh trilioni 1.57 katika Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi. Makabidhiano hayo yanahusisha mashamba ya vijiji vya Mavuji, Migeregere, Nainokwe na Liwiti, ambavyo vimetengwa mahsusi kwa uendelezaji wa miundombinu ya kisasa…

Read More

Shinda Samsung Galaxy A26 Ukijiunga Na Meridianbet

MERIDIANBET inazidi kuleta furaha kwa wapenzi wa kubashiri. Sasa unaweza kushinda moja kati ya simu tatu mpya kabisa za Samsung Galaxy A26 kwa kushiriki kwenye promosheni ya kipekee ya Meridianbet. Fursa hii ipo kwa wote wanaojisajili kupitia tovuti au app ya Meridianbet, nafasi yako ya kubadilisha simu yako ya zamani kwa mpya kabisa ipo mbele…

Read More