WHO yatoa tahadhari kuhusu kisonono

Dar es Salaam. Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuwa, kisonono ambao ni ugonjwa wa zinaa, kinazidi kuwa sugu kwa dawa za antibiotiki. Taarifa iliyochapishwa Novemba 19, 2025 kwenye tovuti ya WHO imesema tahadhari hiyo inatokana na takwimu mpya kutoka mpango wake wa Ufuatiliaji wa Uongezekaji wa Uhimilivu wa Vijidudu vya Kisonono (EGASP), unaofuatilia kuenea…

Read More

Polisi yaonya kauli zinazochochea chuki, kuvuruga amani

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi nchini limetoa tahadhari kuhusu kuongezeka kwa kauli za uchochezi zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani na utulivu wa taifa. Katika taarifa yake, jeshi hilo limesema linafuatilia kwa ukaribu mwenendo wa hali ya usalama nchini na litaendelea kuchukua hatua stahiki dhidi ya mtu yeyote au kundi litakalobainika kukiuka sheria kwa kutoa…

Read More

Dk Mwigulu aanza na mkandarasi, aagiza akamatwe

Dar es Salaam. Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba ameagiza kukamatwa na kuzuiwa kwa hati ya kusafiria ya mkandarasi anayejenga mradi wa Kituo cha Ukaguzi cha Pamoja kilichopo Muhalala mkoani Singida. Kauli hiyo ya Dk Nchemba, inatokana na kusuasua kwa mradi huo unaotekelezwa na Kampuni ya Impresa Di Costruzioni Ing. E. Mantovani S.P.A kwa miaka miwili…

Read More

Kipa Singida Black Stars aibua gumzo Nigeria

Gwiji wa soka nchini Nigeria, Yakubu Aiyegbeni, ameibuka na kuhoji uamuzi wa kocha wa timu ya taifa ya nchi hiyo, Eric Chelle, wa kumjumuisha kipa anayekipiga nchini Tanzania, Amas Obasogie, kwenye kikosi chake kilichoshindwa kufikia lengo la kufuzu Kombe la Dunia 2026. Nigeria ilishindwa mtihani huo, kwa kufungwa na DR Congo kwa mikwaju ya penalty…

Read More

Mreno Yanga awavimbia Waarabu | Mwanaspoti

KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves amesema katika mechi ya kesho Jumamosi Novemba 22, 2025 dhidi ya AS FAR Rabat, licha ya wapinzani wao kuwa na rekodi kubwa kimataifa kulinganisha na kikosi alichonacho, lakini hawataingia uwanjani kinyonge. Pedro, raia wa Ureno ameyasema hayo leo Novemba 21, 2025 mbele ya Waandishi wa Habari hapa Zanzibar kwa…

Read More