Mvua ya saa sita yaleta usumbufu jijini Mwanza
Mwanza. Mvua iliyonyesha zaidi ya saa sita tangu saa 1 asubuhi leo Ijumaa Novemba 21, 2025 imewasababishia adha watumiaji wa njia inayokatisha daraja la Wakoma jijini Mwanza baada ya daraja hilo kufurika maji. Huo ni mwendelezo wa maji kupita juu ya daraja hilo pindi Mto Mirongo unapojaa maji. Baadhi ya barabara zilizoathirika ni ile ya…