Baba amuua mwanaye wa miaka miwili kwa kumnyonga, naye ajinyonga
Mbeya. Mtoto wa miaka miwili Deniva Derick (2) ameuwawa kwa kunyongwa hadi kufa kwa kutumia kamba ya manila na Baba yake mzazi Derick Mwangama (23), ambaye naye alijinyonga na kupoteza maisha. Imeelezwa kuwa tukio hilo lilitokea Novemba 18, 2025 katika Kijiji cha Isaka, Kata ya Nkunga,Tarafa ya Ukukwe, Wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya. Kamanda…