Uhusiano wa amani na haki katika Uislamu
Hakika fadhila na hisani za Allah kwa wanadamu ni kubwa zisizo na ukomo wala mipaka, neema zake haziwezi kuhesabiwa wala kuandikwa. Miongoni mwa neema zake kubwa zaidi ni amani na utulivu. Hizi ni nguzo muhimu za maisha na miongoni mwa mahitaji ya lazima kwa kila binadamu na hata viumbi wengine wa mwituni na baharini. Uislamu…