Chongolo aitaa benki ya ushirika kuimarisha huduma

Dodoma. ‎Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo ameitaka Benki ya Ushirika Tanzania (Coop bank) kuimarisha huduma za kifedha pamoja na wanaushirika ili kufikia malengo yenye tija kwenye sekta ya kilimo nchini. Waziri Chongolo ameahidi kuendeleza ushirikiano na benki hiyo huku akiwataka watendaji wa benki ya Coop kuongeza ubunifu zaidi katika utoaji huduma. Chongolo ameyasema hayo leo…

Read More

Mwenyekiti AAFP aishauri ACT Wazalendo kuingia SUK

Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Said Soud Said amekishauri Chama cha ACT-Wazalendo kuingia ndani ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kwa masilahi ya maendeleo ya Zanzibar. Soud aliyekuwa Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, amesema ni wakati wa ACT-Wazalendo kushiriki ndani ya SUK ili kuungana na Rais wa Zanzibar, Dk…

Read More

Makada CCM katika vita mpya ya umeya, wenyeviti

Dar/Moshi. Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kikitoa saa 48 kwa makada wake wanaotaka kuwania umeya na wenyeviti wa halmashauri nchini kuchukua na kurejesha fomu, mvutano wa kuwania nafasi hizo umeshika kasi. Dirsha la kuchukua na kurejesha fomu limefunguliwa kwa siku mbili kuanzia leo Alhamisi, Novemba 20, 2025 na litahimishwa kesho Ijumaa, saa 10 jioni, kisha…

Read More

Vita ya umeya, wenyeviti CCM yaanza

Dar/Moshi. Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kikitoa saa 48 kwa makada wake wanaotaka kuwania umeya na wenyeviti wa halmashauri nchini kuchukua na kurejesha fomu, mvutano wa kuwania nafasi hizo umeshika kasi. Dirsha la kuchukua na kurejesha fomu limefunguliwa kwa siku mbili kuanzia leo Alhamisi, Novemba 20, 2025 na litahimishwa kesho Ijumaa, saa 10 jioni, kisha…

Read More

Sababu nane za rufaa shauri la Polepole

Dar es Salaam. Jopo la mawakili wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi na Cuba, Humphrey Polepole, limekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam likitoa sababu nane za kufanya hivyo. Katika rufaa hiyo, mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala, wanapinga uamuzi wa Mahakama Kuu iliyotupilia mbali shauri la maombi ya…

Read More

Rais Samia ateua wengine wawili Wizara ya Vijana

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuiimarisha Wizara ya Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana kwa kuteua viongozi wengine wawili. Wizara hiyo mpya inayoongozwa na Waziri, Dk Joel Nanauka imeanzishwa mahususi kwa ajili ya kuimarisha sera, mipango na uratibu wa masuala ya vijana nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Alhamisi, Novemba 20,…

Read More

Wengine 19 kesi ya uhaini wafikishwa mahakamani, mapingamizi ya utetezi yatupwa

Mwanza. Jumla ya watuhumiwa 19 wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana, Mwanza na kusomewa mashitaka yanayowakabili katika kesi mbili tofauti. Washtakiwa hao ni wale waliokamatwa baada  maandamano yaliyozua vurugu siku ya Uchaguzi Mkuu, Oktoba 29, 2025. Watu hao ni sehemu ya wale 172 waliokamatwa na kufunguliwa mashtaka katika Wilaya ya Nyamagana. Leo Alhamisi Novemba…

Read More