NGORONGORO YAENDELEA KUTOA ELIMU YA UHIFADHI SHIRIKISHI NA KUHAMASISHA UTALII MASHULENI.
Na Mwandishi Wetu, Karatu Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeendelea na programu ya kutoa elimu ya uhifadhi shirikishi na kuhamasiha utalii wa ndani kwenye shule mbalimbali ambapo leo tarehe 20 Novemba, 2025 watumishi wa Mamlaka hiyo wametembelea Shule ya Sekondari Banjika iliyopo Karatu Mkoani Arusha. Katika ziara hiyo, wataalam wa uhifadhi na utalii walitoa elimu…