WAZIRI KAPINGA AHIMIZA KUKUA KWA BIASHARA ILI KUWAWEZESHA VIJANA

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Dkt.Selemani Jafo,hafla iliyofanyika leo Novemba 20,2025 katika Ofisi za Wizara zilizopo Mtumba jijini Dodoma. Na.Alex Sonna-DODOMA WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amesema dhamira ya Serikali ni kuhakikisha Watanzania, hususan vijana, wanapata maendeleo kupitia ukuaji…

Read More

Kibarua kinachomsubiri Simbachawene | Mwananchi

Dar es Salaam. Baada ya George Simbachawene kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, anakabiliwa na jukumu la kuhakikisha usalama wa raia, utulivu na utawala wa sheria vinaendelea kudumishwa nchini. Hata hivyo, wadau wa sekta ya usalama wanasema mafanikio yake yataongezeka endapo vyombo vilivyo chini ya wizara hiyo vitakuwa karibu zaidi na wananchi…

Read More

Mapinduzi Ya Kasino Mtandaoni, Tvbet Yaleta Uhalisia Mpya Ndani Ya Meridianbet

ULIMWENGU wa kasino mtandaoni unaingia katika hatua mpya ya ubunifu, na Meridianbet imejipambanua kama kiongozi wa mageuzi haya kwa kuunganisha nguvu na TVBET. Katika enzi ya kidijitali ambapo burudani inahitaji kasi, ubora na uhalisia, TVBET imekuja kuleta mwonekano mpya unaowapa wachezaji uzoefu unaokaribiana zaidi na kasino halisi. Kilichoifanya TVBET kuwa gumzo ni uwezo wake wa…

Read More

Piga *149*10# Kushinda Samsung A26 na Meridianbet

JUMATANO ya zawadi imekufikia na Meridianbet siku ya leo ambapo wale ambao hutumia vitochi kufanya ubashiri sasa wanaweza kujishindi simu janja kali kabisa ndani ya Meridianbet kwa kubashiri mechi wazitakazo. Promosheni hii ya kibabe kabisa imeanza mwezi huu na itaneda mpaka mwisho wa mwezi huu yaani Novemba 30, huku wateja wa Meridianbet wakihimizwa kuchangamkia fursa…

Read More

DKT. BITEKO AKABIDHI OFISI KWA WAZIRI NDEJEMBI

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi leo 20 Novemba, 2025 amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Doto Mashaka Biteko kwenye ofisi za Wizara zilizoko mtumba mkoani Dodoma, na kumshukuru Mhe. Biteko kwa utendaji wake wa kazi katika kipindi chote cha uongozi wake. Waziri Ndejembi amesema katika kipindi…

Read More