BENKI YA NCBA YAPANDA MITI 11000

Ferdinand Shayo ,Arusha . Benki ya NCBA imeshiriki zoezi la kupanda miti ya asili 11000 katika eneo la Olkokola Wilayani Arumeru Mkoani Arusha kwa kushirikiana na shirika la Kijani Pamoja kwa lengo la kuhakikisha uoto wa asili unarejea na kutimiza adhma ya Benki hiyo kupanda miti milioni 10 ifikapo mwaka 2030. Akizungumza katika Zoezi la…

Read More

DKT. KIJAJI APOKEA RASMI OFISI WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

………………. Na Sixmund Begashe – Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), amekabidhiwa rasmi ofisi na mtangulizi wake Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) tayari kwa kuiongoza Wizara hiyo yenye mchango mkubwa kiuchumi nchini.  Katika makabidhiano hayo yaliyofanyika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma leo Novemba 20,2025, Mhe. Dkt. Kijaji licha…

Read More

WAZIRI KAPINGA ATAKA USHIRIKIANO KUKUZA SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA

  WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga,akikabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Dkt.Selemani Jafo,hafla iliyofanyika leo Novemba 20,2025 katika Ofisi za Wizara zilizopo Mtumba jijini Dodoma. …. WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amesema dhamira ya Serikali ni kuhakikisha Watanzania, hususan vijana, wanapata maendeleo kupitia ukuaji wa sekta za viwanda…

Read More

Mchechu: Ushirikiano wa serikali na TPC umezaa matunda, wachangia zaidi ya Sh75 bilioni kwenye mapato

Moshi. Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu amesema mafanikio yaliyopatikana ndani ya miaka 25 tangu ubinafsishaji wa TPC Limited yametokana na ushirikiano thabiti kati ya serikali na sekta binafsi, hatua iliyolibadilisha shirika hilo kutoka kiwanda kilichokuwa kinafifia hadi kuwa mmoja wa wazalishaji bora wa sukari barani Afrika. Kwa sasa, TPC inatoa gawio la Sh16.5 bilioni kwa…

Read More

Tanzania matumaini kibao Kombe la Dunia Futsal

TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Soka Wanawake ya Futsal, imewasili nchini Ufilipino huku ikiwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la Futsal yatakayoanza kesho Ijumaa Novemba 21, 2025. Mashindano hayo yatakayofanyika nchini Ufilipino yakitarajiwa kufikia tamati Desemba 7, 2025, yanajumuisha timu 16, huku Tanzania ikipangwa kundi C na…

Read More

Nsajigwa pira biriani Championship | Mwanaspoti

KOCHA Mkuu wa maafande wa Transit Camp, Shadrack Nsajigwa ameweka wazi anatamani kuona soka safi likichezwa katika Ligi ya Championship hali ambayo itawavutia watazamaji wengi kama ilivyo Ligi Kuu Bara tofauti na sasa timu nyingi zinacheza soka la nguvu nyingi. Nsajigwa alijiunga na timu hiyo msimu huu akitokea Namungo, akiwa na kazi kubwa ya kuipambania…

Read More