Straika Mnigeria ampa Sowah maujanja
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Stand United, Mbeya City na Pamba, Abasirim Chidiebere amemsifu nyota wa Simba, Jonathan Sowah akiamini straika huyo atafanya vizuri kama atashikilia hapo alipoanzia. Hata hivyo, Chidiebere alimtahadharisha Sowah raia wa Ghana, kuhakikisha kila nafasi anayoipata afunge mabao ili kuwa na makali na tishio katika ligi. Chidiebere ambaye ni raia wa Nigeria,…