Dk Ashatu awahakikishia watalii Tanzania ni salama
Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, amesema kuwa Tanzania ni salama na kuwakaribisha watalii kutoka nchi mbalimbali ili kujionea vivutio mbalimbali. Dk Kijaji ambaye ameongozana na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dk Hassan Abbas,wako jijini Arusha,wakitembelea hifadhi mbalimbali kujiunza na kujionea shughuli…