NEMC yashiriki COP30 Brazil, Kuja na mkakati mpya za kukabiliana na tabianchi

– Ushiriki wake kuleta manufaa kwenye miradi na mazingira Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki Mkutano wa thelathini wa nchi wanachama wa Mkataba wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (UNFCCC COP-30), unaoendelea jijini Bélem, nchini Brazil kuanzia tarehe 03/11/2025 na unatarajiwa kukamilika tarehe 21/11/2025. Akiongoza ujumbe wa NEMC katika Mkutano…

Read More

AGN yaongoza mawaziri nane wa Afrika kuzungumza na UN kuhusu athari za mabadiliko ya tabia ya nchini katika mkutano wa COP30, Brazil

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres (kulia), akizungumza na Mjumbe Maalum na Mshauri wa Rais kuhusu Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kundi la Majadiliano la Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (AGN), Dkt. Richard Muyungi, aliyekuwa akiongoza ujumbe wa mawaziri wanane wa Afrika kuwasilisha misimamo ya bara hilo katika…

Read More

Wingu Cloud Exchange Launch Marks a New Era for Tanzania’s Digital Economy

Wingu Africa today launches Wingu Cloud Exchange (WCX), a locally hosted private cloud platform designed for the wider East African region. WCX gives organisations a secure, compliant, cost-effective, and easy-to-use alternative to offshore cloud services. With transparent local-currency pricing, rapid deployment, and instant scalability, it enables businesses to grow workloads without complexity or unpredictable costs….

Read More