Wananchi wapiga mawe gari ya Zimamoto, DC aingilia kati
Shinyanga. Novemba 19, 2025 saa 12 jioni nyumba yenye makazi ya watu na biashara iliyopo maeneo ya Mnara wa Voda, mkoani Shinyanga iliteketea kwa moto. Wananchi walifanikiwa kuuzima moto huo wakidai gari la zimamoto lilichelewa kufika eneo la tukio na kuchukua hatua ya kulishambulia kwa mawe. Wakizungumza Novemba 19, 2025 baadhi ya mashuhuda na waathirika…