Tahadhari muhimu mauzo ya dhahabu yakizidi kupaa

Dar es Salaam. Dhahabu imeendelea kuwa moja ya chanzo kikubwa cha kuuingizia Tanzania fedha za kigeni baada ya mauzo yake kufikia Sh10.82 trilioni katika mwaka ulioishia Septemba 2025, Ripoti ya Benki Kuu inaeleza (BoT). Ripoti hiyo ya tathmini ya kila mwezi inaonyesha kuwa mauzo hayo ni ongezeko kutoka Sh7.97 trilioni iliyokuwapo kipindi kama hicho mwaka…

Read More

Asasi za Kiraia zinaonya juu ya kunyakua ardhi mpya wakati Benki ya Dunia inasukuma mageuzi ya umiliki barani Afrika – Maswala ya Ulimwenguni

Mariann Bassey-Olsson wa AFSA, kushoto, na Prof Ruth Hall wa Plaas Nigeria. Mikopo: Isaya Esipisu/IPS na Isaya Esipisu (Addis Ababa) Jumatano, Novemba 19, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Wazo la wingi wa ardhi ni hadithi ya wakoloni ambayo inakataa kufa. Utafiti wetu unaonyesha kuwa ardhi za Afrika tayari zinatumika sana na zinathaminiwa sana na…

Read More

MZIZE ABEBA TUZO YA GOLI BORA LA MWAKA CAF 2025

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Mchezaji wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans na timu ya Taifa ya Tanzania, Clement Mzize amefanikiwa kuchukua tuzo ya goli bora la mwaka la shirikisho la soka barani Africa CAF. Goli hilo alifunga kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe kwenye ligi ya mabingwa barani Afrika hatua ya Makundi…

Read More