Mayele atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Klabu

Fiston Mayele ametawazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa Klabu za Wanaume katika Tuzo za CAF 2025, akihitimisha msimu wake bora zaidi uliomfanya mshambuliaji huyo wa DR Congo kuwa mmoja wa wachezaji wasiozuilika kirahisi barani Afrika. Mchezaji huyo wa kimataifa wa DR Congo ametoa mchango wa hali ya juu kwa klabu ya Pyramids iliyotwaa mataji…

Read More

Mzize ang’ara tuzo za CAF 2025

Mshambuliaji wa Yanga na Taifa Stars, Clement Mzize ameshinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka 2025 katika hafla ya utoaji tuzo za Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Mzize ameshinda tuzo hiyo kutokana na bao alilofunga msimu wa 2024-2025 hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe wakati Yanga ikishinda 3-1 kwenye…

Read More

Serikali yajizatiti kutafuta fedha za ujenzi wa miradi

Dar es Salaam. Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar amesema Wizara ya Fedha imebeba matumaini ya Serikali na wananchi katika kuhakikisha inatafuta fedha za kuendeleza ujenzi wa miradi ya maendeleo itakayochochea ukuaji wa uchumi na maendeleo ya wananchi. Balozi Omar amesema hayo katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Wizara ya Fedha (Treasury Square),…

Read More

Zigo la Mchengerwa Wizara ya Afya hili hapa

Dar es Salaam. Uteuzi wa Omary Mchengerwa kuwa Waziri wa Afya, umeibua maoni mapya kutoka kwa wadau wa sekta hiyo, wakibainisha maeneo muhimu yanayohitaji msukumo wake wa haraka. Miongoni mwa mambo yanayomsubiri Mchengerwa aliyeteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Novemba 17, 2025 ni usimamizi makini wa utoaji wa huduma za afya kupitia Bima ya Afya…

Read More

Wananchi, CCM wabainisha maratajio kwa mawaziri

Dar/Dodoma. Baraza jipya la mawaziri lililoteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan limeibua mjadala mpana miongoni mwa wananchi, wakiwa na maoni tofauti kuhusu ufanisi, uwajibikaji na kasi ya utendaji katika mhula wa pili wa Serikali ya wamu ya sita. Mitazamo na matarajio ya wananchi hayo, inatokana na mabadiliko yaliyopo kwenye baraza hilo lenye wizara 27. Mabadiliko…

Read More