MZUMBE YAJIPANGA KUJITANUA KIMATAIFA – MICHUZI BLOG

FARIDA MANGUBE , MOROGORO Chuo Kikuu Mzumbe kimejipanga kujitanua kimataifa kwa kuongeza ushirikiano wa kimataifa, kuboresha mitaala na kupokea wanafunzi kutoka nje ya nchi, ikiwa ni mkakati wa kukuza ubora wa elimu na kuongeza mapato. Akizungumza katika Baraza la 25  la wahitimu chuo kikuu Mzumbe, Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. William Mwegoha, amesema mpango huo…

Read More

Machumu, Tido waula, Nyalandu arudi kivingine

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan, amewateua waliowahi kuwa Wakurugenzi watendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) Bakari Machumu na Tido Mhando kwenye ofisi yake ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu. Uteuzi huo uliofanyika leo Jumatano, Novemba 19, 2025, umemtaja Bakari Machumu ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, akichukua nafasi ya Sharifa Nyanga ambaye…

Read More

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji latangaza nafasi za ajira

Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini limetangaza nafasi mpya za ajira kwa vijana wa Kitanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano Novemba 19, 2025, ajira hizo zinawalenga vijana wenye sifa za kuanzia elimu ya kidato cha nne, kidato cha sita, stashahada hadi shahada. Taarifa hiyo imesainiwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi…

Read More

Dk Mwinyi awataka wawekezaji wa ndani wasiwe watazamaji, aahidi mazingira bora

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji akiwataka wawekezaji wa ndani kujitokeza kujenga miradi mikubwa, inayoacha alama badala ya kuwa watazamaji. Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo leo Novemba 19, 2025 wakati akizindua mradi wa Hoteli ya Tembo Kiwengwa Beach Resort Zanzibar, amesema atapenda kuona miradi mikubwa ya…

Read More