Ndugu wajitokeza kwa wingi Kisutu kufuatilia kesi za washtakiwa 227 wa uhaini

Dar es Salaam. Kesi tatu za uhaini zinazowakabili washtakiwa 227 zimetajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, bila washtakiwa kuwepo mahakamani, huku Jamhuri ikibainisha bado inaendelea na uchunguzi kwa ajili ya kukamilisha upelelezi. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka kula njama na kutenda kosa la uhaini, tukio wanalodaiwa kulitenda kati ya Aprili Mosi na Oktoba 29,…

Read More

Sita matatani wakidaiwa kutakatisha Sh100 milioni

Dar es Salaam. Dereva wa bodaboda, Dominic Ezekiel na wenzake watano, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 29 yakiwemo ya kutakatisha Sh100 milioni, mali ya ubalozi wa China. Mbali na Ezekiel, washtakiwa wengine ni Hassan Abdallah, James Nehemiah, Thomas Stiven, Guster Peter na Method Emanuel. Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo leo…

Read More

Morogoro mguu sawa maonyesho ya biashara

Morogoro. Maandalizi ya maonyesho ya biashara, viwanda na kilimo ya mwaka 2025 yanayotarajiwa kuanza kesho hadi Novemba 30, 2025 katika Uwanja wa Jamhuri, Manispaa ya Morogoro, yamefikia asilimia 90. Jumla ya washiriki 201 wamethibitisha kushiriki, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka kadri siku zinavyozidi kusogea. Akizungumza na Mwananchi jana Jumatano, Novemba 18, 2025, Meneja wa Chemba…

Read More

CCM: Waziri, naibu waziri atakayemuangusha Rais tutamchukulia hatua

Dodoma. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewatahadharisha wateule wa Rais Samia Suluhu Hassan kwamba wanatakiwa kufanya kazi kwa weledi na viwango vinginevyo wategemee kuchukuliwa hatua. Tahadhari hiyo imetolewa leo Jumatano Novemba 19,2015 na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM,  Kenani Kihongosi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. Kihongosi amesema waziri ama naibu waziri ambaye…

Read More

Simba Queens yaendeleza ubabe WPL

SIMBA Queens imeendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) baada ya kuitandika Bunda Queens mabao 3-0, mechi iliyopigwa leo Novemba 19, 2025 kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar. Huo ni muendelezo baaada ya mechi ya raundi ya kwanza Simba Queens kupata ushindi kama huo uwanjani hapo dhidi ya Bilo Queens iliyopanda daraja msimu huu….

Read More

Straika Azam FC avujisha faili la Maniema

KIKOSI cha Azam FC kimeondoka jana Jumatano kwenda DR Congo kuwahi mechi ya kwanza ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya AS Maniema Union, huku mshambuliaji raia wa Congo anayekipiga timu hiyo ya Chamazi akivujisha faili la wenyeji mapema. Jephte Kitambala, aliyewahi kuitumikia Maniema amefichua mbinu na ubora na udhaifu wa timu hiyo…

Read More