Mazingira yamempeleka Yondani visiwani | Mwanaspoti
BEKI wa kimataifa wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars, Kelvin Yondani anayekipiga kwa sasa New King iliyopo Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL) amefichua sababu zilizomfanya aibukie huko kuwa ni kutaka kubadili mazingira kutokana na kushindwa kutoka nje ya nchi enzi zake akiwa katika ubora. Nahodha huyo wa zamani wa Jangwani, aliyewahi pia kukipiga…