Watuhumiwa 93 kesi za uchaguzi wafikishwa mahakamani, waangua vilio
Mwanza. Watuhumiwa 93 wamefikishwa mahakamani kwa mara ya pili wakikabiliwa na mashtaka mawili ya kuharibu mali na unyang’anyi wa kutumia silaha, huku upande wa Jamhuri ukitakiwa kukamilisha ushahidi haraka. Shauri hilo limetajwa kwa mara ya pili mahakamani leo Jumatano, Novemba 19, 2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana, Mwanza mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Amani…