UCHAMBUZI WA MALOTO: Tanzania ilivyofikishwa njiapanda ya njia nne hatari

Taifa la Tanzania linamomonyolewa. Mmomonyoko ni mkubwa. Nchi inagawika pande mbili. Wanaoshutumu, wanaolalamika, wanaotukana na wanaochukizwa na uongozi uliopo madarakani, dhidi ya wanaotetea, wanaosifu na wanaoona kila kitu kinakwenda vizuri. Nani wa kuwaweka Watanzania pamoja? Tanzania imekuwa sawa na ile nyumba, wazazi hawapo, wamebaki watoto wasiosikilizana. La mwenzake, liwe jema au baya, hataki kusikia, kuelewa…

Read More

Jubilee yaondoa mzigo wa makaratasi kwa mawakala na wateja

Dar es Salaam. Mzigo wa makaratasi, kusahau fomu muhimu, pamoja na ucheleweshaji wa taratibu za usajili wa mpango wa bima ni miongoni mwa changamoto zilizowalazimu mawakala wa bima kubadili mfumo wao wa utendaji, hatua iliyosababisha kuzinduliwa kwa mfumo wa kidijitali wa J-Force. Mfumo wa zamani uliathiriwa pia na kupotea kwa baadhi ya nyaraka, makosa ya…

Read More

Mafanikio matano ya haki za wanawake wakati wa migogoro na shida – maswala ya ulimwengu

Hata kama haki zao zinashambuliwa, wanawake kote ulimwenguni wanaongoza mashtaka ya kupanua ufikiaji wa haki. Mikopo: UNDP Somalia Maoni na Revai Makanje Aalbaek (New York) Jumanne, Novemba 18, 2025 Huduma ya waandishi wa habari New YORK, Novemba 18 (IPS) – Hata kama haki zao zinakabiliwa na vitisho vinavyokua, wanawake kote ulimwenguni wanaendesha maendeleo. Kutoka kwa…

Read More

Bodaboda, bajaji Njombe wataka utulivu uendelee    

Njombe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga, ametoa onyo na tahadhari kwa madereva wa bajaji na bodaboda mkoani humo, akiwataka kuwakataa watu watakaofika mkoani humo ili kuwashawishi kufanya vurugu na uvunjifu wa amani wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika yanayotarajiwa kufanyika Desemba 9, mwaka huu. Kamanda Banga ametoa onyo hilo…

Read More

Fahamu maana ya ‘Accept Cookies’ unapoingia katika tovuti kwa mara ya kwanza

Dar es Salaam. Je, unafahamu unapoingia katika tovuti kisha ukabofya ‘Accept Cookies’ unakuwa umekubali nini? Mara nyingi unapotembelea tovuti kwa mara ya kwanza, basi utakutana na ujumbe unaosema “Accept cookies”. Kwa lugha rahisi, hii ni ruhusa ambayo tovuti inaomba ili iweze kuhifadhi taarifa zake ndogo kwenye simu au kifaa chako ulichotumia kingia. Cookies ni mafaili…

Read More

Ligi Kuu Wanawake kuendelea leo

RAUNDI ya pili ya Ligi Kuu Soka Wanawake (WPL) itaendelea tena leo Novemba 19, 2025 zikipigwa mechi tatu baada ya raundi ya kwanza kuchezwa idadi kama hiyo, Novemba 14, 2025 ambapo Simba Queens iliichapa Bilo Queens mabao 4-0, Yanga Princess ikiitandika Ruangwa Queens 3-0 na Geita Queens iliyopanda ligi msimu huu ikiondoka na pointi tatu…

Read More

Jezi mpya za Yanga zazua mjadala

KLABU ya Yanga, leo Jumatano Novemba 19, 2025 imezindua jezi maalum kwa ajili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2025-2026, huku zikizua gumzo mtandaoni kwa mashabiki na wadau mbalimbali wa soka, baadhi yao wakionyesha kutofurahishwa nazo. Yanga imepangwa kundi B la michuano hiyo na timu za Al Ahly ya Misri, JS Kabylie…

Read More

SADC YAZINDUA MKAKATI WA MAWASILIANO WA MWAKA 2025-2030

::::::: Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imezindua Mkakati wa Mawasiliano na Uhamasishaji wa Mwaka 2025-2030 ili kuimarisha mawasiliano, uhusiano wa kikanda na maendeleo endelevu, kwa nchi wanachama.  Hafla ya Uzinduzi wa Mkakati huo imefanyika tarehe  17 Novemba, 2025 jijini Gaborone, Botswana na kushirikisha wadau mbalimbali wa mawasiliano, habari na washirika wa kimataifa wa…

Read More

YANGA YAZINDUA JEZI MPYA KIMATAIFA

::::::::: TIMU ya Yanga imezindua jezi mpya zitakazotumika katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika. Jumamosi, Novemba 22, 2025, wawakilishi hao wa Tanzania wataanza kampeni yao ya hatua ya makundi wakiwa nyumbani, katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, wakikipiga dhidi ya FAR Rabat kutoka Morocco. je Unaupa asilimia ngapi huu uzi mpya wa…

Read More