Njia muhimu kuimarisha mshikamano, umoja wa kitaifa

Wakati Watanzania wakiendelea kutafakari yaliyotokea siku ya uchaguzi mkuu, Oktoba 29, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito wa kujenga mshikamano na umoja wa kitaifa ili amani iendelee kutawala hapa nchini. Siku hiyo, yaliibuka maandamano yaliyotawaliwa na vurugu ambapo waandamanaji hao walikabiliana na vikosi vya ulinzi na usalama, jambo lililosababisha vifo vya vijana katika maeneo…

Read More

AI na mustakabali wa kujifunza – maswala ya ulimwengu

Ujuzi wa bandia ni kuunda tena jinsi wanafunzi, waalimu, na waundaji wanavyoshirikiana na elimu katika bara lote. Wimbi jipya la uvumbuzi wa AI unabadilisha ujifunzaji katika nchi kwenye bara la Afrika-kutoka kwa wakufunzi wa msingi wa mazungumzo hadi vibanda vya mseto na shamba zilizopigwa marufuku. Mikopo: UNICEF | Kupitia mipango kama vile ustadi wa dijiti…

Read More

TUMEMKAMATA DKT KIBABA KWA TUHUMA ZA JINAI

…………… Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limemkamata na linaendelea kumhoji Dkt. Kibaba Furaha Michael, Mkazi wa Manispaa ya Geita. Limeeleza sababu za kumkamata ni kutokana na ushahidi uliokusanywa ambao umehusiana na tuhuma mbalimbali za kijinai anazotuhumiwa nazo. Jeshi Hilo limeeleza Uchunguzi uliobakia unakamilishwa ili hatua zinazofuata za sheria ziweze kuchukuliwa dhidi yake na anao…

Read More

Safari ndefu kwa Zanzibar kusaka maridhiano ya kweli

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, ametangaza Baraza jipya la Mawaziri huku akiacha nafasi nne mahsusi kwa ajili ya Chama cha ACT-Wazalendo, ili kufanikisha kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kwa mara ya nne. Mfumo huu si zawadi ya kisiasa bali ni matokeo ya mabadiliko ya kikatiba yaliyobarikiwa na kura ya maoni…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: G-Z wanaelewana kwa lugha yao

Mwanamuziki Perer Tosh aliimba kuhusu haki sawa na amani. Alisema kila mtu analilia amani lakini hakuna anayepambania haki. Akaongeza kuwa kutokana na hilo, yeye hahitaji tena amani, bali anachohitaji ni haki sawa. Kwa haraka unaweza kudhani huyu jamaa kachanganyikiwa, lakini ana maana kubwa. Magurudumu ni sehemu ya gari, lakini huwezi kushika gurudumu ukasema una gari….

Read More