KWAGILWA ASHUSHA MAAGIZO KWA VIONGOZI NA WATENDAJI MKOANI PWANI
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Kwagilwa Reuben, amemuagiza mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa shule ya awali na msingi kwa watoto wenye mahitaji maalum Mlandizi, Kibaha mkoani Pwani, kukamilisha ujenzi ifikapo Januari 2026. Agizo hilo alilitoa Novemba 28, 2025, wakati wa ziara yake ya kazi Mjini Kibaha, ambapo alitembelea shule hiyo na…