FANYENI KAZI KWA UPENDO NA UTU KUTIMIZA MALENGO YA SERIKALI
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga , ameziagiza menejimenti na watumishi wa wizara hiyo kufanya kazi kwa weledi, uwajibikaji na ushirikiano ili kutimiza matarajio ya Watanzania wanaosubiri kuona matokeo ya juhudi za serikali katika kukuza biashara na uchumi wa viwanda. Ametoa wito huo alipozungumza na menejimenti ya wizara mara baada ya kuwasili…