Watano walionusuruka ajali ya moto kujengewa makazi

Mbeya. Familia ya watu watano walionusurika kwenye ajali ya moto na kukosa makazi wamepata matumaini baada ya Taasisi ya Tulia Trust kuanza ujenzi wa nyumba ya kisasa. Imeelezwa tukio hilo lilitokea Septemba 5, mwaka huu, katika Mtaa wa Mwafute, Kata ya Ilemi kwenye nyumba ya mzee Anyomwisye Mwalyaje (80). Awali akizungumza na Mwananchi Digital Novemba…

Read More

Wazungumzia kauli ya ‘Wewe ni mwanaume, jikaze!’ wakiadhimisha siku yao

Dar es Salaam. “Wewe ni mwanaume, jikaze! Mwanaume gani unakuwa legelege! Wanaume huwa hawalii,” hizi na nyingine nyingi ni kauli ambazo wanaume, ambao kesho Novemba 19 wataadhimisha siku yao duniani, wamezieleza namna zinavyowajenga na wakati mwingine kuwaweka kwenye hatari. Kesho itakuwa mwaka wa 26 kwa wanaume duniani kuadhimisha siku hiyo, iliyoasisiwa mwaka 1999 nchini Trinidad…

Read More

Mahakama yaridhia Jamhuri kuongeza walalamikaji 100 kesi ya ‘Dk Manguruwe’

Dar es Salaam. Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40), maarufu Dk Manguruwe umedai umebaini walalamikaji zaidi 100 hawajajumuishwa katika hati ya mashtaka inayomkabili mshtakiwa huyo pamoja na mwenzake. Kutokana na hali hiyo, wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, iwape muda ili waweze kuwaongeza walalamikaji…

Read More