Wananchi walivyopokea uteuzi wa Dk Gwajima
Dar es Salaam. Katika baraza jipya la mawaziri, miongoni mwa teuzi zilizowakosha Watanzania wengi wa maeneo mbalimbali ni wa Dk Dorothy Gwajima, waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu. Tabia ya kuvaa uhalisia, kuwa mfuatiliaji wa mambo hususan mitandaoni, kujibu na kusimamia hoja huku akiongoza kwa kubebesha watu wajibu wao, vimetajwa kuwa…