Siri za kuijenga Tanzania ya teknolojia
Katika ulimwengu wa sasa unaotawaliwa na teknolojia na ubunifu, vijana wengi duniani wanazidi kuthubutu kuanzisha miradi inayobadili maisha yao na jamii kwa ujumla. Katika orodha hiyo, yumoJumanne Mtambalike, Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Ventures, kampuni ya ubunifu, teknolojia na ujasiriamali yenye makao yake jijini Dar es Salaam. Katika mahojiano haya maalumu, Mtambalike anafafanua changamoto, fursa na…