Irene Godfrey ambaye ni mkazi wa wa Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam akiwa na pikipiki ambayo amekabidhiwa na baada ya kutangazwa mshindi wa Kampeni ya GESI YENTE inayoendeshwa na Kampuni ya Oryx Gas Tanzania ikiwa na lengo la kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia. Hafla hiyo imefanyika leo Desemba 1, 2025 Jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Maofisa wa Kampuni ya Oryx Gas Tanzania.
Hafidhi Madunda ambaye ni mkazi wa Chanika Jijini Dar es Salaam akiwa na pikipiki ambayo amekabidhiwa na baada ya kutangazwa mshindi wa Kampeni ya GESI YENTE inayoendeshwa na Kampuni ya Oryx Gas Tanzania ikiwa na lengo la kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia. Hafla hiyo imefanyika leo Desemba 1, 2025 Jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Maofisa wa Kampuni ya Oryx Gas Tanzania.
Halfan Sued mkazi wa Kibaha kwa Mathias mkoani Pwani akiwa na pikipiki ambayo amekabidhiwa na baada ya kutangazwa mshindi wa Kampeni ya GESI YENTE inayoendeshwa na Kampuni ya Oryx Gas Tanzania ikiwa na lengo la kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia. Hafla hiyo imefanyika leo Desemba 1, 2025 Jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Maofisa wa Kampuni ya Oryx Gas Tanzania.





