Bonasi ya Kubashiri ni Kitu Gani?
Bonasi za kubashiri ni fedha za ziada zinazotolewa kama zawadi na kampuni za kubashiri kumpa nguvu mchezaji/mwekezaji. Zinakuja katika njia mbalimbali, kwa sababu kila kampuni hujaribu kutofautisha ofa zake na kuendana na soko husika.
Hata hivyo, bonasi nyingi huangukia katika makundi machache ya msingi. Bonasi ya kubashiri inampa fursa mwekezaji kuweka mikeka mingi zaidi, huongeza mtaji wa kuanzia lakini pia inampa mchezaji/mwekezaji mn kuweka dau kubwa zaidi.
Kwa Nini Makampuni ya Kubashiri Hutoa Bonasi?
Soko la Michezo ya Kubashiri kwa Njia ya Mtandao Tanzania linatarajiwa kufikia Dola milioni 568 kufikia mwisho wa 2025 kulingana na makadirio ya Statista. Hivyo basi, ushindani kati ya kampuni za kubashiri huongezeka kila mwaka, na gharama za kuvutia wachezaji wapya pia huwa kubwa.
Kutoa bonasi na promosheni ni njia rahisi ya kuwashawishi wabashiri kujisajili, kubakia kwenye mitandao ya kubashiri na kuongeza uaminifu kwa chapa fulani. Mantiki kama hii hutumika pia katika masoko mengine ya michezo hiyo, kwani wanadamu hupenda kupata zaidi kwa kutumia juhudi ndogo.
Aina za Bonasi Zinazopatikana Kwenye Kampuni za Michezo ya Kubashiri Tanzania
Kampuni nyingi za kubashiri zenye leseni Tanzania hutoa bonasi zinazotokana na makundi 10 maarufu yafuatayo:
- Bonasi ya amana ya kwanza
- Bonasi ya amana ya ziada (reload)
- Dau la bure au bonasi bila amana
- Uboreshaji wa mkeka wa jumla (acca boost/multibet)
- Cashback au rebate
- Bonasi kwa mfululizo wa mikeka iliyopotea
- Kurudishiwa mkeka wa acca uliopotea (acca insurance)
- Bonasi za VIP na uaminifu (loyalty)
- Bonasi ya rufaa
- Bonasi maalum na za msimu
Bonasi ya Amana ya Kwanza ni Nini?
Ni fedha anayoongezewa mchezaji/mwekezaji na kampuni ya kubashiri anapoweka fedha kwa mara ya kwanza kwenye akaunti yake. Bonasi hii inalenga wachezaji/wawekezaji wapya kabisa.
Bonasi ya Amana ya Kwanza Inafanyaje Kazi?
Mfano: Helabet hutoa asilimia mia moja ya kiwango chako cha amana kama bonasi. Hivyo ukiweka Sh 300,000, kampuni inakuongezea Sh 300,000 nyingine, na unakuwa na jumla ya Sh 600,000 za kuweka mikeka.
Bonasi ya Reload ni Nini?
Ni kiasi cha fedha kinachoongezwa kwenye akaunti ya mchezaji/mwekezaji baada ya kuweka amana fulani katika siku maalumu. Bonasi hii inawalenga wachezaji waliopo tayari sokoni.
Bonasi ya Reload Inavyofanya Kazi
Mfano: Helabet huongeza asilimia 25 kwenye amana ya kwanza kila siku. Ukiweka Sh 20,000 unapata Sh 25,000. Kiwango cha juu ni Sh 122,531, hivyo ukiweka Sh 490,124 utapata kiwango cha juu cha bonasi.
Bonasi Bila Amana (Free Bet) ni Nini?
Huu ni mkopo unaotolewa na kampuni ya kubashiri unaomruhusu mwekezaji kubashiri ndani ya kiwango fulani maalumu cha fedha bila ya kulazimika kutumia amana yake iliyopo kwenye akaunti yake.
Tofauti na mifumo mingine ya kubashiri bure, bonasi hii haihitaji utangulize amana kwanza ndiyo uipate.Bonasi hizi hulenga wachezaji/wawekezaji ambao hawabashiri mara nyingi au kutumika mara chache kama ofa ya kuvutia wachezaji wapya.
Bonasi Bila Amana (Free Bet) Inavyofanya Kazi
Huwa inawekwa kama fedha ya ziada kwenye akaunti. Masharti kama ukomo wa muda au mahitaji ya kuchagua masoko, hutegemea bonasi husika.Utofauti wake ni kwamba ukishinda, kiasi cha dau hakirudishwi, unalipwa faida tu.
Mfano: Ukibashiri kwa free bet ya Sh 5,000 na ushinde Sh 15,000, utalipwa Sh 15,000 badala ya Sh 20,000 kama ungeweka dau la fedha halisi. Na ndiyo maana bonasi hii inaitwa mkopo.
Accumulator Boost au Multibet Bonus ni Nini?
Ni njia ya kuhamasisha wachezaji kuweka mikeka ya jumla (acca), kwa kuongeza kiasi cha ushindi zaidi ya kilichopatikana kutokana na odds. Kadri chaguzi/bashiri zinavyoongezeka, ndivyo bonasi inavyoongezeka.
Jinsi Accumulator Boost Inavyofanya Kazi
Mfano: Mkeka wenye chaguzi 10 ukiwa na bonasi ya asilimia 10 na ushindi wake ukawa Sh 100,000, utalipwa Sh 110,000.
Bonasi ya Cashback au Rebate ni Nini?
Ni urejeshaji wa sehemu ya fedha zilizopotea ndani ya wiki au mwezi kwenye akaunti ya mwekezaji, mara nyingi haizidi asilimia 1. Hii inawafaa zaidi wachezaji/wawekezaji wa kiwango cha juu.
Jinsi Bonasi ya Cashback Inavyofanya Kazi
Mfano: Helabet hutoa asilimia 0.3 kila wiki. Kwa kila Sh 100,000 unayopoteza, unarudishiwa Sh 300.
Bonasi ya Mfululizo wa Mikeka Iliyopotea ni Nini?
Ni urejeshaji wa asilimia ya hasara kwa mchezaji/mwekezaji anayepoteza idadi fulani ya mikeka mfululizo (mfano bets 20). Inalenga wachezaji wasio na kikomo (no-limit bettors) kama faraja na kuwapa nafasi ya kufidia hasara.
Jinsi Bonasi Hii Inavyofanya Kazi
Mfano: Helabet hurejesha sehemu ya hasara ukiwa umepoteza mikeka 20 mfululizo. Kiwango cha juu ni Sh 1,225,310.
Bonasi ya Acca Insurance au Bet Refund ni Nini?
Ni bonasi ambayo hukurudishia dau la mkeka wa jumla hata kama ubashiri/uchaguzi mmoja umepotea. Bonasi hii inawavutia sana wapenzi wa mikeka ya jumla.
Jinsi Bonasi ya Acca Insurance Inavyofanya Kazi
Mfano: Ukiweka mkeka wa Sh 100,000 wenye chaguzi nane, na uchaguzi mmoja tu ukakosea, unarudishiwa Sh 100,000.
Bonasi za VIP na Uaminifu ni Nini?
Ni zawadi kwa wachezaji waliobashiri kwa muda mrefu na kampuni fulani ya kubashiri. Huwa za kipekee, kama cashback kubwa zaidi au reload iliyoboreshwa. Mara nyingi hufanya kazi baada ya kuweka dau la kiasi fulani ndani ya muda fulani.
Jinsi Bonasi Hizi Zinavyofanya Kazi
Mfano: Mchezaji akiweka mikeka ya Sh 10,000,000 ndani ya mwezi, anaweza kupandishwa daraja na kupata bonasi ya reload ya asilimia 25 badala ya asilimia 20 kwa mwezi unaofuata.
Ni malipo ya mkupuo kwenye akaunti ya mchezaji anayemleta rafiki/mwekezaji mpya kwenye kampuni. Mara nyingi hutolewa pale mwekezaji mpya aliyeletwa anapoweka dau au kupoteza kiasi fulani.
Mfano: Ukimshawishi rafiki ajisajili kupitia kiunganishi (link) yako, na akipoteza Sh 500,000, wewe unalipwa Sh 100,000.
Bonasi Maalum na za Msimu ni Nini?
Ni ofa za muda mfupi wakati wa misimu fulani, siku maalum au matukio maalum. Kampuni za kubashiri hutoa faida kama odds zilizoboreshwa.
Bonasi Maalum na za Msimu Zinavyofanya Kazi
Odds za kawaida za alama 1.82 zinaweza kuboreshwa hadi kufikia alama 2.00 katika mechi ya kirafiki siku ya Jumanne, na hivyo kufanya dau kuwa na thamani zaidi.
Bonasi Maalum (Custom Bonuses)
Kampuni nyingi hutengeneza bonasi za kipekee ili kujitofautisha na washindani wao. Licha ya ukweli kwamba baada ya muda, kampuni za kubashiri hujikuta zikiiga taratibu hizo na kuendelea na biashara kama kawaida.
Bonasi Gani Ambayo Hupendelewa Zaidi na Kampuni za Kubashiri?
Ili bonasi ziwe na faida, ni sharti ziwe endelevu na zipatikane kihalali.
Hii ndiyo bonasi yenye faida zaidi, kwani kila mchezaji hutumia amana mara kwa mara. Kupata fedha za ziada kila unapoweka amana ni faida kubwa.
Bonasi ya Mfululizo wa Mikeka Iliyopotea
Bonasi hii inashika nafasi ya pili kwa umuhimu. Hakuna anayetarajia kupoteza mikeka 20 mfululizo, lakini ikitokea, bonasi hii inakuwa faraja kubwa na huongeza nafasi ya kubadili matokeo bila kuathiri bajeti yako zaidi.
Kubashiri ni kwa watu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea. Kumbuka kubashiri kistaarabu