Upinzani wa dawa za kulevya na ufadhili wa kutishia maendeleo kuelekea kuondoa magonjwa ya muuaji – maswala ya ulimwengu

Ugonjwa unaosababishwa na mbu wa vimelea ni wa kuzuia na unaoweza kutibika lakini unabaki kuwa tishio kubwa la kiafya na la kufa-kudai mamia ya maelfu ya maisha-wengi kati ya watoto wadogo na wanawake wajawazito, haswa katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. WHOSasisho la hivi karibuni la kila mwaka linaonyesha maendeleo ya kuvutia tangu 2000:…

Read More

‘Nchi zenye kipato cha chini na cha kati zinahitaji data bora, sio teknolojia bora tu’- maswala ya ulimwengu

Johanna Choumert-Nkolo, wa tatu kutoka kulia, akizungumza wakati wa majadiliano ya jopo katika Mkutano wa Maendeleo wa Global 2025 huko Clermont-Ferrand, Ufaransa. Mikopo: Athar Parvaiz/IPS na Athar Parvaiz (Clermont-Ferrand, Ufaransa) Alhamisi, Desemba 04, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Clermont-Ferrand, Ufaransa, Desemba 4 (IPS)- Wakati wa Mkutano wa Maendeleo wa Ulimwenguni 2025, wataalam wa maendeleo…

Read More

WANAFUNZI 937,581 WAPANGIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2026

:::::::::: Serikali imetangaza majina ya wanafunzi 937,581 watakaojiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2026, wakiwemo wasichana 508,477 na wavulana 429,104. Hii ni hatua inayoonesha mafanikio makubwa katika kuhakikisha kila mwanafunzi aliyefaulu darasa la saba anaendelea na elimu ya sekondari. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Prof. Riziki…

Read More

Simba yajipigia Mbeya City, Bajaber atupia

SIMBA kama kawaida imeendeleza moto wake kwenye Ligi Kuu Bara, baada ya kuichapa Mbeya City mabao 3-0, lakini utamu wa ushindi huo ni kiungo Mohammed Bajaber. Ushindi huo wa nne kwenye mechi nne za Ligi Kuu Bara unaifanya Simba kufikisha pointi 12 ikipaa kutoka nafasi ya nane mpaka ya tano. Mapema tu Mbeya City iliilainisha…

Read More

DIWANI KATA YA KALANGALALA AKABIDHIWA OFISI

Viongozi wa kata ya Kalangalala katika halmashauri ya manispaa ya Geita leo Disemba 04, 2025 wamempokea diwani wa kata hiyo Reuben Sagayika katika hafla fupi iliyohudhuriwa na wenyeviti wa mitaa ya kata hiyo, wakuu wa idara za elimu, afya na maendeleo ya Jamii na baadhi ya walimu wa shule zilizopo katika kata hiyo. Hafla ya…

Read More

MTO UMBA KUFUNGUA MILANGO YA UTALII JIJINI TANGA .

  Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa kushirikiana na Uongozi wa Mkoa wa Tanga na Wilaya ya Mkinga umezindua rasmi na kuendesha zoezi la ulipaji wa fidia kwa wananchi wa kijiji cha Makota, kata ya Mwakijembe  wilayani Mkinga ili kupisha eneo tengefu la Mto Umba kujumuishwa ndani ya mpaka wa Hifadhi ya Taifa…

Read More

Waziri aonya ujenzi wa miradi chini ya kiwango

Unguja. Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar, Nadir Abdullatif amesema wizara hiyo haitomvumilia mkandarasi yeyote atakayefanya kazi za ujenzi chini ya kiwango kisichoheshimu mkataba wa makubaliano yao. Nadir ameyasema hayo leo Alhamisi Desemba 4, 2025 akiwa kwenye ziara ya kukagua ujenzi wa vituo vya kupokea na kupozea nishati ya umeme vilivyopo kisiwani Unguja. Amesema,…

Read More

NEMC YASAINI MAKUBALIANO YA AWALI NA UPS KUANZISHA MFUMO WA KIDIGITALI WA UFUATILIAJI WA UCHAFUZI WA MAZINGIRA

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limesaini makubaliano ya awali na Kampuni ya United Platform Solution (UPS) kwa ajili ya kuanzisha mfumo wa kidigitali wa ufuatiliaji wa uchafuzi wa mazingira katika miradi yote ya maendeleo nchini. Hafla hiyo ya kusaini makubaliano hayo imefanyika Disemba 04,2025 katika ukumbi wa mikutano wa Baraza…

Read More

Biashara zinaathiri asili ambayo hutegemea – Ripoti ya IPBES hupata – maswala ya ulimwengu

na Busani Bafana (Pretoria) Alhamisi, Desemba 04, 2025 Huduma ya waandishi wa habari PRETORIA, Desemba 4 (IPS) – Asili ni upanga wenye kuwili kwa biashara ya ulimwengu. Ripoti kubwa itaonyesha jinsi biashara zinavyofaidika kutokana na kutumia rasilimali asili wakati huo huo zinaathiri bioanuwai. Tathmini ya kisayansi inayovutia, Ripoti ya Biashara na Bioanuwai, iliyowekwa kutolewa na…

Read More