DCEA YAPEWA TUZO YA UMAHIRI KATIKA KUTAYARISHA TAARIFA HESABU ZA SERIKALI MWAKA 2024
Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekuwa mshindi wa kwanza na kupewa tuzo ya umahiri katika utayarishaji bora wa taarifa za hesabu kwa mwaka 2024 kwa kufuata viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu International Public Sectors Accounting Standards (IPSAS) katika kundi la Taasisi za Serikali zinazojitegemea. Tuzo…