Ile siku ndo leo! Ni vita ya Ibenge, Matola Kwa Mkapa
WENGI wanaamini Mzizima Derby huwa ni vita vya wanandugu, lakini ukweli hili ni pambano la kukata na shoka baina ya Simba na Azam FC na baada ya kupiga danadana kwa sababu hizi na zile, sasa ngoma inapigwa leo kuanzia saa 11:00 jioni kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Simba na Azam zimekuwa zikinasibishwa udugu, kutokana na…