Wakazi Dar na kilio cha ulinzi shirikishi

Dar es Salaam. Wakati Serikali za mitaa zikisisitiza ushiriki wa wananchi katika kulinda makazi yao, baadhi ya wananchi wanalalamikia mfumo wa ulinzi shirikishi, wakidai umepoteza mwelekeo. Wamesema mpango wa ulinzi shirikishi umegeuka kutoka kuwa msingi wa usalama wa raia na mali zao na kusababisha mpasuko katika jamii. Miongoni mwa mambo yanayolalamikiwa ni kutozwa fedha za…

Read More