Safari ya jasho, machozi na damu kuutafuta Uhuru wa Tanganyika
Katika karne ya 19, ardhi ya Tanganyika ilijumuisha jamii na makabila mbalimbali, wakiishi maisha ya jadi yaliyokuwa ya wakulima na wafugaji. Yote haya yalifanyika kabla ya kile kilichoitwa: “Mashindano ya Kugawana Afrika,” (The Scramble for Africa). Mwaka 1885, katika mkutano wa Berlin uliohusu kile kilichoitwa: “Mapatano ya Kugawana Afrika,” nchi za Ulaya ziligawana Bara la…