Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania, Chiha Nchimbi (kushoto), pamoja na Meneja Mauzo na mkakati wa biashara Kanda ya Kati, Latifa Salum (kulia), wakimkabidhi kapu la sikukuu mteja Beatrice Msawanya (katikati) ikiwa ni mwendelezo wa zoezi la kugawa makapu kwa wateja kama sehemu ya shamrashamra na mwendelezo wa kampeni ya Vodacom ya kuwashukuru na kusherehekea wateja wake nchini katika msimu huu wa sikukuu. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki mjini Morogoro.

.jpeg)

