Katika Afghanistan iliyotawaliwa na Taliban, mwanamke mchanga hufanya kazi kwa kujificha kulisha familia yake-maswala ya ulimwengu

Chini ya vizuizi vya Taliban, harakati za wanawake na kazi zimezidi kuwa ngumu kote Afghanistan. Mikopo: Kujifunza pamoja. na chanzo cha nje (Kabul) Alhamisi, Desemba 11, 2025 Huduma ya waandishi wa habari KABUL, Desemba 11 (IPS)-Shabnam, mhitimu wa sheria wa miaka 26, anasimamia maisha yake na kufanya kazi kwa kujificha kama mvulana. Katikati ya soko…

Read More

Kocha Msauzi afunguka ishu ya kutua Simba, amtaja Fadlu

WAKATI  kocha wa Stellenbosch, Steve Barker  akipewa nafasi kubwa kurithi mikoba ya meneja, Dimitar Pantev huko Msimbazi, raia huyo wa Afrika Kusini amefunguka kuhusu uvumi huo huku akimtaja Fadlu Davids. Barker, aliyezaliwa Maseru, Lesotho, anatoka katika familia maarufu katika tasnia ya michezo na sanaa. Yeye ni mpwa wa kocha wa zamani wa Bafana Bafana, Clive…

Read More

Kiungo achana mkataba Fountain Gate

KIUNGO mahiri wa Fountain Gate, Abdallah Kulandana ameomba kuvunja mkataba aliosaliwa nao na klabu hiyo wa muda miezi sita  ili aweze kwenda kujaribu changamoto nyingine nje ya timu hiyo, huku akidaiwa anakaribia kutua Mbeya City. Kulandana ameitumikia Fountain kwa msimu mmoja na nusu,  ameliambia Mwanaspoti ni kweli ameuomba uongozi na tayari ameanza mazungumzo na moja…

Read More

MRADI WA UPANUZI WA KITUO CHA KUPOKEA NA KUPOZA UMEME CHA KINYEREZI I EXTENSION UMEKAMILIKA – NAIBU WAZIRI SALOME

************ 📌 Utaimarisha upatikanaji wa umeme Mbagala na Gongo la Mboto 📌 Majaribio yameanza; Shukurani kwa Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amesema kuwa mradi wa upanuzi wa Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Kinyerezi 1 Extension umekamilika rasmi, ikiwa ni pamoja na kufungwa kwa Transfoma yenye uwezo…

Read More

TAIFA LIMEPATA PENGO KUONDOKEWA NA MBUNGE WA JIMBO LA PERAMIHO,RUVUMA -DKT.NCHIMBI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Taifa limepata pengo kuondokewa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma, marehemu Jenista Mhagama ambaye alikuwa kiongozi aliyeheshimika na  kutumikia nchi katika majukumu mbalimbali ya kitaifa. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akitoa salamu za rambirambi alipowasili kuhani msiba…

Read More

Dk Nyansaho apata warithi PSSSF, Tanesco

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Fortunatus Magambo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF). Kabla ya uteuzi, Magambo alikuwa Mkurugenzi wa Mipango, Uwekezaji na Miradi katika mfuko huo. Sambamba na Magambo, Rais Samia pia amemteua Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA),…

Read More

Mhagama akumbukwa wa uchapakazi, viongozi wamlilia

Dar es Salaam. Mwanasiasa mkongwe na waziri wa muda mrefu, Jenista Mhagama, amefariki dunia akiacha historia ya mwanamke mpambanaji, akitokea kwenye kada ya ualimu hadi kuwa waziri katika awamu tofauti za Serikali. Mhagama, aliyezaliwa Juni 23, 1967, amefariki dunia leo Desemba 11, 2025, ukiwa umepita mwezi mmoja tangu alipoapishwa kuwa Mbunge wa Peramiho (CCM) kwa…

Read More

CEOrt, IUCN waongoza msukumo wa kueneza suluhisho zinazotumia njia za asili kukabilina na mabadiliko ya tabia nchi

Na Mwandishi Wetu Arusha, Tanzania – Jukwaa la Wakurugenzi wa Makampuni nchini (CEOrt Roundtable), kwa kushirikiana na Umoja wa Kimataifa wa Uhifadhi wa Mazingira (IUCN) na wadau muhimu wa utalii, limeandaa Warsha ya Ngazi ya Juu ya kuhamasisha matumizi ya njia za asili (Nature-based Solutions (NbS) jijini Arusha katika mnyororo mzima wa thamani wa utalii…

Read More