Rais Dkt. Samia Apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Angola, Uholanzi, Iran, Slovakia pamoja na Namibia wanaowakilisha nchi zao Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Angola, Uholanzi, Iran, Slovakia pamoja na Namibia wanaowakilisha nchi zao Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Angola hapa nchini Mhe. Domingos De Almeida Da Silva Coelho, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Desemba 2025.